
MILANGO
ZANZIBAR DOOR 27
TSh 0 kwa 1
🚪 MLANGO WA ASILI WA ZANZIBAR
Mlango wa Kizanzibari ni mlango wa asili wenye nakshi za kipekee, unaowekwa kwenye sehemu kuu ya kuingilia nyumba, na kuipa nyumba yako muonekano wa kifahari na wa kuvutia.
💰 Bei za milango hii hutofautiana kulingana na vipimo vya mlango wako, ukubwa wake na aina ya nakshi unazohitaji.
📏 Tutumie vipimo vya mlango wako ili tukupatie bei inayolingana na mahitaji yako.
SWAIF SOUQ
Hitaji lako ndio kipaumbele chetu.
✓ Stock: Imeisha✓ Chukua dukani au chagua delivery